WIKI 5 ZA UINJILISTI MEY 2020

UTAWEZAJE KUSHIRIKI?

Omba pamoja na mamilioni ya Wakristo mwisho wa juma la kwanza la mwezi Mey.Fanya Aina zote za shughul za uinjilisti wakati wote wa mwezi Mey.

KILA MUUMINI

ANAWEZA KUWAFIKIA WATU 5 AU ZAIDI KWA INJILI

Shirikisha Injili kwa marafiki,majirani,wanachuo na wanafamilia .Tafadhali heshimu misingi ya kujikinga na korona iliyowekwa na serikali kuhusu umbali katika jamii.Unaweza kufanya maombezi,Kuwajali watu wenye uhitaji na kushirikisha Imani yako katika mitandao ya kijamii,simu,anwani na kila mahalo panapowezekana kuwa na mazungumzo ya binafsi. Ushuhuda wako unaweza kubadili maisha ya mtu daima!

KILA KANISA

LINAWEZA KUFANYA SHUGHULI MBALIMBALI ZA UINJILISTI

Katika nyakati za kujiweka kando kijamii, Unaweza kushirikisha Injili kwa njia ya mtandao, fanya matangazo ya moja kwa moja,na mikutano ya vikundi vidogo vidogo.pia unaweza kutoa kozi za mtandaoni kuhusu Imani,tuna barua Pepe kwa Watu wengi ukiwa tia moyo , shirikisha habari njema kwenye mitandao ya kijamii,na uwasaidie watu.Fanya linalowezekana katika Hali ilivo kwako.Mshirikishe Kristo katika Lindi la janga hili.

S’il vous plait, emmenez d’autres Pasteurs et églises (assemblées locales) à être au courant de Go2020.

Shiriki ushuhuda wako kwenye media ya kijamii ukitumia #globaloutreach # go2020

KABLA YA MEY

Omba kwa watu wengi kuokolewa. FUNGUA NA UFUNDISHE kila muumini katika uinjilishaji wa kibinafsi. Pakua Mafunzo ya STEPS 3 kwenye www.go2020.world

MEY 2020

Mwisho wa juma la kwanza la mwezi Mey: Omba pamoja na waumini milioni 100,Watume Kanisa lako 

Mwezi wa Mey: Kila Aina ya shughuli za kiinjili na , hususani mitandaoni.

Mey 30,2020: kila muumini na kanisa lishirikishe kumhusu Yesu wakati wa Siku Ya Uinjilisti Duniani

BAADA YA MEY

WAFUNDISHE Waumini wapya na waweke kanisani mwako,anzisha vikundi vidogo na makanisa.

MOUVEMENT d’Évangélisation Mondiale - continuez à partager l'Évangile:  - Chaque mois ou chaque semaine en tant qu'église. - Chaque semaine ou chaque jour en tant que croyant.  

Du 31 octobre au 1er novembre 2020: Baptiser les nouveaux croyants lors du week-end mondial du baptême.

Marcio Cesar
Pastor Marcio F. Barboza Cesar
Rio Grande do Sul, Brasil
Kubwakuliko! Kwasababu ya Siku ya Uinjilisti Duniani makanisa yetu 300 yamekuwa na watu 2.300. Na Sasa wengi wetu tunatoka nje na kushirikisha injili kwa misingi inayofaa.

How to participate

GO 2020 is dedicated to mobilizing and training every believer possible for personal evangelism.

You can participate as an individual, church, ministry, or denomination. Everyone committed to the biblical message of the Gospel is invited to be involved.

“CHAQUE CROYANT EST UN TÉMOIN - ENSEMBLE NOUS POUVONS ATTEINDRE LE MONDE !”

GET INVOLVED

We encourage you, your church or your network or organization to join GO 2020 launching beginning of the month with prayer doing all sorts of joint or individual evangelistic outreaches during the whole month.

 KILA MUUMINI NI SHAHIDI - KWAPAMOJA TUNAWEZA KUUFIKIA  – ULIMWENGU!