GO 2020

WAUMINI KUHAMASISHA MILIONI 100 ILI KUWAFIKIA WATU BILIONI 1 KWA INJILI

Mwezi wa uinjilisti Ulimwenguni ni Toleo maalum la SIKU YA UINJILISTI DUNIANI

Tunakuarika uungane na maelfu ya makanisa na huduma Ulimwenguni na kujitolea  mwezi mzima wa Mey 2020 wa kushirikisha injili ya Yesu Kristo.Fikiri Hilo litakuwa na tija gani katika ujirani wako,mkoa wako,taifa lako na ulimwengu!

Yesu akasema: " Mavuno ni mengi, watenda Kazi ni wachache."Mt 9:37

93% ya washirika hawshirikishi Imani zao. Hili linaweza kubadilika!

Kuwa sehemu ya Go 2020

Pakua "Mafundisho ya Hatua 3"na rasilimali zingine zenye kusaidia.Sajili Kanisa lako na utume malengo yako.

MIAKA 8 YA SIKU YA UINJILISTI DUNIANI

  • Kulikuwa na washiriki milioni 25. Wengi walishiriki imani yao mara ya kwanza maishani mwao  

  • Zaidi ya watu milioni 10 waliokolewa.

  • Maelfu ya jamii mpya za imani ziliongezewa.  

  • Zaidi ya waumini wapya 100.000 waliobatizwa katika Karibiani.

GO 2020 is a global vision to activate the whole Body of Christ – millions of individual believers, churches and large global ministries - to pray and share the Gospel all over the world in an joint effort of evangelism during the month of May 2020.

THE CALLING

“The harvest is plentiful, but the workers are few.” Mt 9:37

The Great Commission is not an “optional assignment” for the Church. Yet 93% of church members never share the Gospel with others. GO 2020 aims to turn those numbers upside down … to pursue the following:

VISION

To activate and train every Christian believer, everywhere to share the Gospel of Jesus Christ. Through a unique partnership effort involving many different denominations and parachurch organizations, this massive moment is meant to train and inspire every believer to live a lifestyle of evangelism.

GOAL

Mobilize 100 million believers to reach 1 Billion people with the Gospel in May 2020.

HOW?

Through a strategic partnership network built over nearly a decade, GO 2020:

  • Encourages ordinary believers to share the Gospel through personal conversation and to demonstrate God’s love through prayer, caring, and sharing in numerous different ways.
  • Equips Churches with training and materials in evangelism, discipleship and church planting (see Resources).
  • Promotes Kingdom partnership as churches, denominations and ministries from many different backgrounds work together to reach the world (see Partner).
  • Invites every church to be part of a church planting initiative during the year 2020. Every church is planting a church – together we can establish 1 million new faith communities.
  • Makes the Gospel visible through thousands of “Freedom Flash Mobs”, GO 2020 Events, March for Jesus and more.


GO 2020 is a special edition of Global Outreach Day, which has been taking place every last Saturday of May since 2012. On this day, every year, believers worldwide have stepped out together in faith to share the Good News.

25 million believers have already participated in Global Outreach Day. To see what God has done, view Global Outreach Day testimonies.

Steve Douglass
Steve Douglass
Campus Crusade for Christ (CRU)
Siku Ya Uinjilisti Duniani ni njia kuu ya kutia moyo Watu kuanza kushirikisha Imani zao.

«Every believer is a witness and a disciple maker – Every church is planting new churches»