KILA MUUMINI NI SHAHIDI

Kwa pamoja tunaweza kuwafikia watu bilioni 1 kwa Injili 2020!

KILA MUUMINI NI SHAHIDI

Kwa pamoja tunaweza kuwafikia watu bilioni 1 kwa Injili 2020!

LENGO:

WAUMINI KUHAMASISHA MILIONI 100 ILI KUWAFIKIA WATU BILIONI 1 KWA INJILI

Mwezi wa uinjilisti Ulimwenguni ni Toleo maalum la SIKU YA UINJILISTI DUNIANI

WIKI 5 ZA UINJILISTI MEY 2020

UTAWEZAJE KUSHIRIKI?

Omba pamoja na mamilioni ya Wakristo mwisho wa juma la kwanza la mwezi Mey.Fanya Aina zote za shughul za uinjilisti wakati wote wa mwezi Mey.

KILA MUUMINI

ANAWEZA KUWAFIKIA WATU 5 AU ZAIDI KWA INJILI

KILA MUUMINI
Shirikisha Injili kwa mtu mmoja mmoja ,marafiki,majirani,wanachuo na wanafamilia. Mwalike mtu kwa kahawa,shirikisha kwenye mitandao ya kijamii,wajari wenye uhitaji. Ushuhuda wako unaweza kubadili maisha daima!

KILA KANISA

LINAWEZA KUFANYA SHUGHULI MBALIMBALI ZA UINJILISTI

Kama kanisa,mnaweza kuwafikia watu walipo mitaani na kwenye maegesho,andaa kikundi,shirikisha injili nyumba kwa nyumba,aalika marafiki,na majirani kwenye huduma za uinjilisti au vikao vya Vikundi vidogo vidogo,fanya shughul za kijamii na zungumza kumhusu Yesu.

SHUGHULI

SHUGHULI

Maombi

Waumini milioni 100 wataomba pamoja ili watu wengi wapate kuokoka 2020.

 

SHUGHULI

Uinjilisti

Makanisa milioni 1 na Waumini milioni 100 kushirikisha Injili katika kipindi chote Cha mwezi Mey.

SHUGHULI

Kongamano

Vijana wadogo wanaweza KUSHIRIKI Kongamano la kimataifa kwa alama ya THEFOUR.

SHUGHULI

Matukio

Matukio makubwa katika kila bara na 
Maelfu ya matukio madogo ya Uinjilisti.

SHUGHULI

Kuwafanya Wanafunzi

Waumini wapya watafundishwa na kujumuishwa katika makanisa yaliyopo na mapya.

SHUGHULI

Ubatizo

Wakati wa mwishoni mwa juma la mwisho la mwezi Oktoba 2020,
Mamilioni ya Waumini wapya watabatizwa.

Kuwa sehemu ya Go 2020

Pakua "Mafundisho ya Hatua 3"na rasilimali zingine zenye kusaidia.Sajili Kanisa lako na utume malengo yako.

GO 2020 WADAU

Mwezi wa uinjilisti Ulimwenguni husaidia kanisa lako kukua na kuvumbua mtindo wa Maisha wa Uinjilisti.

do it your own way!

How to participate

You can participate with your whole denomination, ministry and church through mobilizing and training every believer possible for personal evangelism.. Every church is invited to be involved into planting a new church.

Together we can reach 1 billion with the Gospel! Register today and you will get access to helpful training resources.

JOIN NOW!